Header Ads

Ama kweli Ushamba ni Mzigo,Harmonize atudhihirishia Ushamba wake baada ya kupelekwa ulaya na mzungu wake


Msanii kutoka label ya WCB, Harmonize amefunguka na kuzungumzia safari yake ya Marekani ambayo ameambatana na mpenzi wake sarah huku wakisindikizwa na mapicha picha ambayo anapost katika ukurasa wake wa Instagram zikiwaonesha wakiwa sehemu tofauti tofauti wakila Bata
.
.

Harmonize amesema Sarah ni mke wake kwasasa na wameenda Miami kwaajili ya kurefresh mind tu, ambako ndipo yalipo makazi ya familia ya mpenzi wake .
.
. "Right now Sarah, she is my wife so tulikuwa Ocean road Marekani sehemu moja panaitwa Miami mtaa unaita Ocean road so tulikuwa tuna drive, tuna have fun. so yeye alitakiwa aje uku kulifresh mind kwasababu hajaja huku muda mrefu halafu kuna familia yake so nikaja nae" alisema Harmonize .
.
.

Harmonize yupo Miami na Mpenzi wake Sarah kwaajili ya ku-refresh mind tu.


Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.