Powered by Blogger.
[4] [Tech] [slider-top] [Technology]

Latest Post

HABARI KALI ZA WIKI

[15] [recent] [slider-top] [HABARI KALI ZA WIKI]

Technology

Lifestyle

HABARI ZA BURUDANI

[4] [burudani] [recent] [HABARI ZA BURUDANI]

Sports

VIDEO KALI ZA WIKI

NEW SONG:DIAMOND FT A,K,A

Gallery

Random Posts

Business

Boss Ngasa

Boss Ngasa

Video Of Day

STORI KALI ZA WIKI

[5] [habarimbalimbali] [recent] [STORI KALI ZA WIKI]

Popular Posts

Pages

STAY CONNECTED

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]

CONTACT US

SIASA

[4] [siasa] [recent] [HABARI ZA SIASA]

Flicker Images

TUMA UDAKU PICHA AU VIDEO KUPITIA 0716909567

Facebook

About US

Advertisements

Entertainment

Follow US

You are here: Home / Anna Mgwira Ajivua Uanachama wa ACT Wazalendo....

Anna Mgwira Ajivua Uanachama wa ACT Wazalendo....

| No commentTaarifa Kwa vyombo vya habari
Mimi Anna mgwira nimejivua uwanachama wangu ACT-Wazalendo ili nikaweze kuwatumikia wana Kilimanjaro
Kwakua nimejivua uwanachama mwenyewe moja Kwa moja nyadhifa zangu zote zitakuwa hazipo
Namshukuru sana mh zitto Zuheri kabwe na wanachama wote ACT-Wazalendo kwakuniamini na kunipa nafasi ya kuwaongoza
Hivyo kuanzia Leo tarehe 4/6/2017 Mimi sio mwanachama tena wa ACT-Wazalendo
Kazi yangu sasa ni kuwatumikia wananchi kupitia nafasi yangu ya sasa ya Ukuu wa Mkoa Kilimanjaro
Hii ni heshma kubwa kwangu na Kwa familia yangu Kwa ujumla
Mungu awabariki
Anna mgwira

Leo 4/6/2017: saa7:30 mchana