Powered by Blogger.
[4] [Tech] [slider-top] [Technology]

Latest Post

HABARI KALI ZA WIKI

[15] [recent] [slider-top] [HABARI KALI ZA WIKI]

Technology

Lifestyle

HABARI ZA BURUDANI

[4] [burudani] [recent] [HABARI ZA BURUDANI]

Sports

VIDEO KALI ZA WIKI

NEW SONG:DIAMOND FT A,K,A

Gallery

Random Posts

Business

Boss Ngasa

Boss Ngasa

Video Of Day

STORI KALI ZA WIKI

[5] [habarimbalimbali] [recent] [STORI KALI ZA WIKI]

Popular Posts

Pages

STAY CONNECTED

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]

CONTACT US

SIASA

[4] [siasa] [recent] [HABARI ZA SIASA]

Flicker Images

TUMA UDAKU PICHA AU VIDEO KUPITIA 0716909567

Facebook

About US

Advertisements

Entertainment

Follow US

You are here: Home / GIGY MONEY SASA HALI TETE, TAKO LOTE KUSHNEI, MASHABIKI WAANZA KUMNANGA WAZI WAZI

GIGY MONEY SASA HALI TETE, TAKO LOTE KUSHNEI, MASHABIKI WAANZA KUMNANGA WAZI WAZI

| No comment
Stori: Gabriel Ng’osha, Wikienda
DAR ES SALAAM: Baada ya baadhi ya mashabiki wake kumnanga na kuwa na maswali mengi juu ya nini kinachompukutisha mwili na kuwa mwembamba kupindukia tofauti na alivyokuwa mwanzo, video queen maarufu Bongo, Gift Stanford ‘Gigy Money’ ameibuka na kueleza sababu ya kupukutika mwili.
Gigy aliliambia Wikienda kuwa, watu wengi wamekuwa wakimshambulia kutokana na kukonda kwake lakini mwili alionao anaufurahia kwa sababu unaendana na umri wake, tofauti na mwanzo alikuwa akionekana kama jimama fulani hivi ilihali hajafikia hatua hiyo.
“Nimepungua kwa sababu nafanya sana mazoezi na dayati. Hakuna kingine kama watu wanavyodhani, nafurahia mwili huu mdogomdogo maana unaendana na umri wangu,” alisema Gigy.