Header Ads

https://www.youtube.com/channel/UCERjz5nmYNOtG_WBi-1S4xA

HALIMA MDEE NA ESTHER BULAYA (CHADEMA) WOTE CHALI (OUT) ...!

Image result for HALIMA MDEE NA ESTER BULAYA
Wabunge Halima Mdee na Esther Bulaya(CHADEMA) wamefungiwa kutohudhuria vikao vya Bunge hadi mkutano wa Bajeti ujao mwaka 2018/19.

Hukumu hiyo imeungwa mkono na wabunge wengi waliopitisha azimio hilo.

Juliana Shonza wakati akichangia amesema Wabunge hawa wamekuwa na Mazoea mabaya ya kudharau Bunge ukizingatia ni Wabunge wazoefu waliotakiwa wawe wa Mfano. .

Wabunge hao wamezuiliwa vikao vilivyobaki vya mkutano wa saba na vikao vyote vya mikutano ya nane na tisa.

No comments:

Powered by Blogger.