Powered by Blogger.
[4] [Tech] [slider-top] [Technology]

Latest Post

HABARI KALI ZA WIKI

[15] [recent] [slider-top] [HABARI KALI ZA WIKI]

Technology

Lifestyle

Sports

VIDEO KALI ZA WIKI

NEW SONG:DIAMOND FT A,K,A

Gallery

Random Posts

Business

Boss Ngasa

Boss Ngasa

Video Of Day

STORI KALI ZA WIKI

[5] [habarimbalimbali] [recent] [STORI KALI ZA WIKI]

Popular Posts

Pages

STAY CONNECTED

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]

CONTACT US

SIASA

[4] [siasa] [recent] [HABARI ZA SIASA]

Flicker Images

TUMA UDAKU PICHA AU VIDEO KUPITIA 0716909567

Facebook

About US

Advertisements

Entertainment

Follow US

You are here: Home / HAYA NDIO MAMBO MATATU AMBAYO DOGO ASLAY HAWEZI KUYASAHAU KATIKA MAISHA YAKE YOTE

HAYA NDIO MAMBO MATATU AMBAYO DOGO ASLAY HAWEZI KUYASAHAU KATIKA MAISHA YAKE YOTE

| No comment

Msanii wa muziki Aslay anaye tamba na kibao cha  ‘Angekuona’  azungumzia mafanikio aliyoyapata akiwa na Bendi ya Yamoto ikiwa chini ya mkubwa Fella amesema ni mengi ila haya ni machache na yenye kipaumbele katika mafanikio yake kimuziki

Kutembea Nchi mbalimbali
“Yamoto bandi tumeweza kutembea sehemu mbalimbali hapa duniani jambo ambalo ni  neema kwa mwanamuziki kwakutengeneza Connection, tumezunguka marekani,Asia na Hata baadhi ya nchi za afrika kama vile Rwanda na kwingineko”

2.Kujengewa Nyumba

“Tumejengewa nyumba tukiwa yamoto bandi kila msanii anayumba yake ,hilo ni jambo kubwa sana kwani kuna baadhi ya watu wanafanyiwa management lakini hawapati  nafasi hiyo binafsi namshukuru sana Mkubwa Fella kwa kutufanya tuwe na makazi ”

3.Kuwa mimi kama mimi  na kujijenga zaidi

“Kwasasa ninamaisha yangu ambayo naweza kupata riziki za hapa napale  na ninaweza kuendesha familia yangu vizuri pasipo na shida na nimefanikiwa kufungua biashara ndogo ndogo ambazo zinaniingizia kipato cha kila siku”