Powered by Blogger.
[4] [Tech] [slider-top] [Technology]

Latest Post

HABARI KALI ZA WIKI

[15] [recent] [slider-top] [HABARI KALI ZA WIKI]

Technology

Lifestyle

HABARI ZA BURUDANI

[4] [burudani] [recent] [HABARI ZA BURUDANI]

Sports

VIDEO KALI ZA WIKI

NEW SONG:DIAMOND FT A,K,A

Gallery

Random Posts

Business

Boss Ngasa

Boss Ngasa

Video Of Day

STORI KALI ZA WIKI

[5] [habarimbalimbali] [recent] [STORI KALI ZA WIKI]

Popular Posts

Pages

STAY CONNECTED

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]

CONTACT US

SIASA

[4] [siasa] [recent] [HABARI ZA SIASA]

Flicker Images

TUMA UDAKU PICHA AU VIDEO KUPITIA 0716909567

Facebook

About US

Advertisements

Entertainment

Follow US

You are here: Home / HUYU NDIO MSANII WA KWANZA BONGO KUTANGAZA BIKIRA YAKE HADHARANI 'MIMI SIO USED NI BIKIRA''

HUYU NDIO MSANII WA KWANZA BONGO KUTANGAZA BIKIRA YAKE HADHARANI 'MIMI SIO USED NI BIKIRA''

| No comment
Mchekeshaji Ebitoke

Mchekeshaji kutoka Timamu African Media, Ebitoke baada ya kutangaza anamuhitaji msanii wa Bongo Fleva, Ben Pol katika mahusiano ya kimapenzi, leo ameibuka na kioja kingine.


Ebitoke ambaye amekuwa akitoa vichekesho mbali mbali kupitia mitandao ya kijamii, ametoa kauli ambayo imetafsiriwa kuwa hajawahi kufanya mapenzi na mwanaume yeyote.

Nawashangaa mnaonifananisha na USED, mimi niko SEALED jamani,
#Hatufanani thamani yangu ni kubwa kuliko make up za kichina,” aliandika Ebitoke Instagram.

Baadhi ya mashabiki wake wamechukulia jambo hilo kama utani, wengine wakimpongeza, huku wengine wakibeza kwa kudai amejishusha kusema hivyo.