Powered by Blogger.
[4] [Tech] [slider-top] [Technology]

Latest Post

HABARI KALI ZA WIKI

[15] [recent] [slider-top] [HABARI KALI ZA WIKI]

Technology

Lifestyle

HABARI ZA BURUDANI

[4] [burudani] [recent] [HABARI ZA BURUDANI]

Sports

VIDEO KALI ZA WIKI

NEW SONG:DIAMOND FT A,K,A

Gallery

Random Posts

Business

Boss Ngasa

Boss Ngasa

Video Of Day

STORI KALI ZA WIKI

[5] [habarimbalimbali] [recent] [STORI KALI ZA WIKI]

Popular Posts

Pages

STAY CONNECTED

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]

CONTACT US

SIASA

[4] [siasa] [recent] [HABARI ZA SIASA]

Flicker Images

TUMA UDAKU PICHA AU VIDEO KUPITIA 0716909567

Facebook

About US

Advertisements

Entertainment

Follow US

You are here: Home / INAMA SANA LEILA MKE MKUBWA WA MZEE YUSUPH AZIMIA NUSU SAA MSIBA WA CHIKU MKE MDOGO

INAMA SANA LEILA MKE MKUBWA WA MZEE YUSUPH AZIMIA NUSU SAA MSIBA WA CHIKU MKE MDOGO

| No comment

Leyla Rashidi akiwa amezimia.
MSIBA UNAUMA! Ndiyo maneno pekee unayoweza kusema baada ya mtandao huu kushuhudia mke mkubwa wa Mzee Yusufu, Leyla Rashidi akizimia katika msiba wa aliyekuwa mke mdogo wa mumewe huyo, Chiku Khamisi.

Leyla ambaye alifariki katika Hospitali ya Amana, jijini Dar siku ya Jumamosi na kichanga tumboni alipokuwa akijifungua, kumeibua simanzi nzito kwa watu kiasi cha kumpelekea mke mwenza, Leyla kupoteza fahamu kwa muda wa nusu saa msibani.

Mzee Yusuf akiwa na mwili wa kichanga kilichofariki pamoja na mama yake.
Watu waliokusanyika msibani hapo walishikwa na majonzi zaidi baada ya kumuona ‘Malkia’ huyo akipoteza fahamu kitu kilichoonyesha kuumizwa mno na msiba huo.
Chiku enzi za uhai wake.
Marehemu Chiku alizikwa jana (Jumapili) katika Makaburi ya Kisutu, jijini Dar. Mungu amlaze mahali pema peponi Bi Chiku, Amen.