Powered by Blogger.
[4] [Tech] [slider-top] [Technology]

Latest Post

HABARI KALI ZA WIKI

[15] [recent] [slider-top] [HABARI KALI ZA WIKI]

Technology

Lifestyle

HABARI ZA BURUDANI

[4] [burudani] [recent] [HABARI ZA BURUDANI]

Sports

VIDEO KALI ZA WIKI

NEW SONG:DIAMOND FT A,K,A

Gallery

Random Posts

Business

Boss Ngasa

Boss Ngasa

Video Of Day

STORI KALI ZA WIKI

[5] [habarimbalimbali] [recent] [STORI KALI ZA WIKI]

Popular Posts

Pages

STAY CONNECTED

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]

CONTACT US

SIASA

[4] [siasa] [recent] [HABARI ZA SIASA]

Flicker Images

TUMA UDAKU PICHA AU VIDEO KUPITIA 0716909567

Facebook

About US

Advertisements

Entertainment

Follow US

You are here: Home / Kila Mwanamke Anatamani Kutoka na Diamond – Amber Lulu

Kila Mwanamke Anatamani Kutoka na Diamond – Amber Lulu

| No comment
Msanii na Video Queen anaekuja kwa kasi kwenye kiwanda cha Bongo Fleva, Amber Lulu ameweka wazi hisia zake kwa msanii wa Bongo Fleva Diamond Platnumz kwa kusema kuwa yupo tayari kutoka kimapenzi na Baba Tiffah kama ikitokea.

Tokeo la picha la amber lulu
Amber Lulu

Amber Lulu amesema kwa sasa hapa Bongo anavutiwa sana na Diamond Platnumz sio tu kwa kazi zake bali hata ikitokea wakawa wapenzi yeye yupo tayari kwani hakuna mwanamke asiyependa kuwa nae.

“Kibongo Bongo sijaona mwanaume zaidi ya Diamond kwanza ana ni inspire na maisha yake yaani anajiweka kazi na kila kitu na sio kwamba na wish ku’date nae tuu bali kufanya nae kazi pia,” amesema Amber Lulu huku akisisitiza kuwa kila mwanamke ana ndoto za kuwa nae.

“Kama ikitokea kutembea nae is ok….sio mimi peke yangu kila mwanamke anawish kuwa nae…kila mtu mimi naamini wachache sana ambao hawamuhitaji,” amesema Amber Lulu kwenye mahojiano yake na Times FM.

Hata hivyo mrembo huyo amesema Diamond Platumz kwa sasa ni Baba na ana familia yake hivyo hafikirii sana kuwa nae kimapenzi zaidi ya kufanya nae kolabo.