Header Ads

https://www.youtube.com/channel/UCERjz5nmYNOtG_WBi-1S4xA

Mambo matano ya kufahamu kwenye msiba wa Ivan The Don (video)

May 30, 2017 ilikuwa siku ambayo mwili wa aliyekuwa Mfanyabiashara maarufu wa Uganda na Mume wa zamani wa Zari the Bomss Lady ulizikwa wakihudhuria watu mbalimbali mashuhuri wakiwemo wasanii wa Uganda Jose Chameleon na Bobi Wine.
Ayo TV na millardayo.com bado imeweka kambi nyumbani kwa marehemu Kampala Uganda na imekukusanyia mambo matano ya kufahamu kuhusu Ivan mwenyewe na mengine ya msiba ambayo unaweza kuyafahamu kwa kubonyeza play kwenye video hiiNo comments:

Powered by Blogger.