Powered by Blogger.
[4] [Tech] [slider-top] [Technology]

Latest Post

HABARI KALI ZA WIKI

[15] [recent] [slider-top] [HABARI KALI ZA WIKI]

Technology

Lifestyle

HABARI ZA BURUDANI

[4] [burudani] [recent] [HABARI ZA BURUDANI]

Sports

VIDEO KALI ZA WIKI

NEW SONG:DIAMOND FT A,K,A

Gallery

Random Posts

Business

Boss Ngasa

Boss Ngasa

Video Of Day

STORI KALI ZA WIKI

[5] [habarimbalimbali] [recent] [STORI KALI ZA WIKI]

Popular Posts

Pages

STAY CONNECTED

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]

CONTACT US

SIASA

[4] [siasa] [recent] [HABARI ZA SIASA]

Flicker Images

TUMA UDAKU PICHA AU VIDEO KUPITIA 0716909567

Facebook

About US

Advertisements

Entertainment

Follow US

You are here: Home / Mapenzi yamekua Rahisi Sana Ndo Maana Ndoa Hamna Siku Hizi

Mapenzi yamekua Rahisi Sana Ndo Maana Ndoa Hamna Siku Hizi

| No comment
Eeh ndo hivyo, akina dada wengi wanajirahihisha sana wala hawaoni aibu kuzungusha kwa vijana wa mtaani na maofisini.Zamani nasikia msichana unaweza ukafukuzia miaka mi 2 na kuendelea nowdays ukitoka nae tu appointment chupa ya pili ikikolea kichwani akili yote inakimbilia chini kazi kwako tu kuangusha kwa ubua

Kingine material things, watu wengi wako kimaslahi ndo maana anaweza easily aka confuse mapenzi na pesa hii ni kutokana na economic liberalisation sijui? Utaona mdada ana mpenzi wake atakuambia i love my guy blah blah nyingi lakini sasa kama huyo Guy hawezi kumnunulia Iphone 7 wala hawezi ku offord outing za zanzibar weekend, we muambie tu twende Zanzibar this week lazima lovely Guy atoswe na lazima ujilie tu huko.

Mapenzi yakishakua tu biashara basi tambua kuwa soko lake litatawaliwa na demand and supply kwa kuwa kuna wadada wengi mjini supply ni kubwa lakini wanalazimika kushusha bei, utu tena katika mapenzi taratibu unapotea hapa ni chapa tu ilale. Kwanini wanaume waweke ndani wakati kinapatikana tu kirahisi? Na hata hiki kilichokua ndani kutokana na ushindani wa soko kinaweza kikachukuliwa