Powered by Blogger.
[4] [Tech] [slider-top] [Technology]

Latest Post

HABARI KALI ZA WIKI

[15] [recent] [slider-top] [HABARI KALI ZA WIKI]

Technology

Lifestyle

HABARI ZA BURUDANI

[4] [burudani] [recent] [HABARI ZA BURUDANI]

Sports

VIDEO KALI ZA WIKI

NEW SONG:DIAMOND FT A,K,A

Gallery

Random Posts

Business

Boss Ngasa

Boss Ngasa

Video Of Day

STORI KALI ZA WIKI

[5] [habarimbalimbali] [recent] [STORI KALI ZA WIKI]

Popular Posts

Pages

STAY CONNECTED

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]

CONTACT US

SIASA

[4] [siasa] [recent] [HABARI ZA SIASA]

Flicker Images

TUMA UDAKU PICHA AU VIDEO KUPITIA 0716909567

Facebook

About US

Advertisements

Entertainment

Follow US

You are here: Home / Mmh! Kwa hili Amber Rose ni Kweli au Unatudanganya tu...sio kwa kuumbuka huko

Mmh! Kwa hili Amber Rose ni Kweli au Unatudanganya tu...sio kwa kuumbuka huko

| No comment

HIVI ni kweli ama? Huku ikiwa imepita miezi sita tangu mwaka uingie, mwanamitindo mwenye jina kubwa aliyekuwa mpenzi wa mwanamuziki Wiz Khalifa, Amber Rose ameibuka katika akaunti yake kwenye Mtandao wa Kijamii wa Twitter na kudai kwamba tangu mwaka 2017 uingie hajawahi kulala na mwanaume yeyote yule.
Kauli hiyo kutoka kwa mwanamama huyo mwenye mtoto mmoja aitwaye Sebastian imezua mijadala mitandaoni huku wengine wakihoji kama anachokisema ni kweli au amedanganya ilimradi awe na cha kuongea kwani kwa kipindi kirefu amekuwa hasikiki kama ilivyokuwa zamani.