Powered by Blogger.
[4] [Tech] [slider-top] [Technology]

Latest Post

HABARI KALI ZA WIKI

[15] [recent] [slider-top] [HABARI KALI ZA WIKI]

Technology

Lifestyle

HABARI ZA BURUDANI

[4] [burudani] [recent] [HABARI ZA BURUDANI]

Sports

VIDEO KALI ZA WIKI

NEW SONG:DIAMOND FT A,K,A

Gallery

Random Posts

Business

Boss Ngasa

Boss Ngasa

Video Of Day

STORI KALI ZA WIKI

[5] [habarimbalimbali] [recent] [STORI KALI ZA WIKI]

Popular Posts

Pages

STAY CONNECTED

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]

CONTACT US

SIASA

[4] [siasa] [recent] [HABARI ZA SIASA]

Flicker Images

TUMA UDAKU PICHA AU VIDEO KUPITIA 0716909567

Facebook

About US

Advertisements

Entertainment

Follow US

You are here: Home / MREMBO Anayesemakana ni Mdogo wa Zari (Asmah Honey) Awakana Zari , Patrick PCK na Irene Uwoya

MREMBO Anayesemakana ni Mdogo wa Zari (Asmah Honey) Awakana Zari , Patrick PCK na Irene Uwoya

| No comment
Mrembo wa haja anayejulikana mitandaoni kama Asmah Honey amejikuta katika wakati mgumu baada ya ku andikwa kuwa yeye ni mdogo wa Zari na anatoka kimapenzi na Mwanaume Mpenda kiki za Bure Patrick PCK , Honey ametuhabarisha kuwa Ndugu zake na marafiki wanampigia simu kuhusu tuhuma za kufumaniwa na kupigwa mawe na Irene Uwoya kitu ambacho kinamwaribia CV yake.......

ASMA HONEY NI NANI?
Mrembo Asmah Honey Amewasiliana na sisi moja kwa moja na kudai kuwa yeye ni Mnyaruada kwa kabila na kwasasa anaishi Burundi, Amesema Tanzania Huwa anakuja tu kwa ajili ya kufanya biashara zake

KUHUSISHWA NA ZARI HASSAN
Asmah anadai mwenyewe haelewi kwanini watu wanamwita mdogo wake na Zari Kwani Hawana udungu wowote na Mama watoto huyo wa Diamond kutoka Uganda, Mtandao mmoja mkubwa Bongo ulitoa habari yenye kichwa cha Habari kinachosema 'Uwoya Amfanyia Kitu Kibaya Mdogo wake Zari " Kitu ambacho si Kweli, Mwenyewe Adai hata Zari Hajawahi kumuona Live zaidi ya Kwenye Mitandao..

KUTOKA KIMAPENZI NA PATRICK PCK
Asmah Honey amedai hizo ni kiki tu anazotafuta Mwanaume huyo kwani hajawahi toka nae kimapenzi zaidi ya kumsikia tu , Adai huyo Mwanaume hivi karibuni amekuwa akitumia wasichana tofauti kwa ajili ya kujitafutia Kiki magazetini na mitandoani


Ikumbukwe mwanaume huyo ameshaandikwa pia kuwa anatoka na Irene Uwoya na Mrembo Mwingine anayeitwa Kibonge Sexy

WOLPER KUMFUMA NA PCK NA KUMRISHIA MAWE

Mwenyewe amedai habari hiyo iliyoandikwa na mtandao mmoja mkubwa Bongo sio ya Kweli kwani yeye tarehe hizo zilizoandikwa kuwa alifumaniwa hakuwepo Tanzania , Asmah Pia amekana kumfahamu Irene Uwoya kama mke Mwenza Kwa PCK na Kudai anamuona tu mitandan