Powered by Blogger.
[4] [Tech] [slider-top] [Technology]

Latest Post

HABARI KALI ZA WIKI

[15] [recent] [slider-top] [HABARI KALI ZA WIKI]

Technology

Lifestyle

Sports

VIDEO KALI ZA WIKI

NEW SONG:DIAMOND FT A,K,A

Gallery

Random Posts

Business

Boss Ngasa

Boss Ngasa

Video Of Day

STORI KALI ZA WIKI

[5] [habarimbalimbali] [recent] [STORI KALI ZA WIKI]

Popular Posts

Pages

STAY CONNECTED

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]

CONTACT US

SIASA

[4] [siasa] [recent] [HABARI ZA SIASA]

Flicker Images

TUMA UDAKU PICHA AU VIDEO KUPITIA 0716909567

Facebook

About US

Advertisements

Entertainment

Follow US

You are here: Home / Nandy baada ya kudaiwa kuwa mapenzini na MC Pilipili

Nandy baada ya kudaiwa kuwa mapenzini na MC Pilipili

| No comment
Image result for nandy tht

Kutoka Bongoflevani leo June 9, 2017 ni hii story inayotrend kwa sasa ambayo inawahusisha mwimbaji staa wa Bongofleva Nandy na Mchekeshaji maarufu Bongo MC Pilipili wakidaiwa kuwa wapenzi kutokana na ukaribu wao.
Kupitia Leo Tena ya Clouds FM, Nandy amebainisha kuwa watu wamekuwa wakidhani kuwa ni wapenzi kwa sababu ya ukaribu wake na MC Pilipili ingawa amekiri kuwa na mpenzi ambaye amedai hayuko tayari kumuweka wazi.
>>>“Nipo kwenye mahusiano ndiyo lakini sijayaweka wazi kwa wazazi ila kwa upande wetu yapo wazi. Ni kweli nilikuwa mtu wa karibu sana na MC Pilipili lakini hatukuwahi kutoka kimapenzi. Tulikuwa na ukaribu tu wa kawaida.” – Nandy.
“Baraka the Prince ana Chuki na Jux na mimi” – Ben Pol (+ Video)