Header Ads

Shabiki wa Simba Aliyefariki Ajalini Akitoka Dodoma, Kuagwa Leo – Dar
Mwili wa shabiki wa Simba, Shose Fidelis aliyefariki kwa ajali ya gari akitokea Dodoma kushuhudia fainali ya Kombe la Shirikisho utaagwa leo saa 5:00 asubuhi katika hospitali ya Mwananyamala na baada ya hapo saa 7:00 mchana mwili wa marehemu utaagwa katika Kanisa la Roman Catholic, Magomeni jijini Dar es Salaam.
Msiba hauna itikadi ya Uyanga na Usimba tujumuike sote kumuaga ndugu yetu mpendwa.
Bwana alitoa, Bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe.
R.I.P Shose Fidelis

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.