Powered by Blogger.
[4] [Tech] [slider-top] [Technology]

Latest Post

HABARI KALI ZA WIKI

[15] [recent] [slider-top] [HABARI KALI ZA WIKI]

Technology

Lifestyle

Sports

VIDEO KALI ZA WIKI

NEW SONG:DIAMOND FT A,K,A

Gallery

Random Posts

Business

Boss Ngasa

Boss Ngasa

Video Of Day

STORI KALI ZA WIKI

[5] [habarimbalimbali] [recent] [STORI KALI ZA WIKI]

Popular Posts

Pages

STAY CONNECTED

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]

CONTACT US

SIASA

[4] [siasa] [recent] [HABARI ZA SIASA]

Flicker Images

TUMA UDAKU PICHA AU VIDEO KUPITIA 0716909567

Facebook

About US

Advertisements

Entertainment

Follow US

You are here: Home / UKISTAAJABU YA MUSA UTAONA YA SHILOLE BAADA YA KUMHUSISHA MUNGU KUHUSIANA NA AKAUNTI YAKE

UKISTAAJABU YA MUSA UTAONA YA SHILOLE BAADA YA KUMHUSISHA MUNGU KUHUSIANA NA AKAUNTI YAKE

| No comment


Staa wa Muziki wa Bongo Fleva, Zuwena Mohammed ‘Shilole’.
Stori: Gladness Mallya | Risasi Mchanganyiko | Za Motomoto News
STAA wa Muziki wa Bongo Fleva, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ amemlilia Mungu na kulaani vikali watu walioingilia akaunti yake katika Mtandao wa Instagram ambako huwa anaposti mambo yake mbalimbali ya kikazi.


Akizungumza na Za Motomoto News, Shilole alisema mpaka sasa wanaendelea kuishughulikia akaunti hiyo irudi na hana mpango wa kufungua nyingine ila waliofanya hivyo anawakabidhi kwa Mungu awafanyie kazi mwenyewe.
“Sifungui akaunti nyingine, bado tunaishughulikia hii maana watu wengi wanaijua na napata wateja wengine hasa kwenye biashara yangu ya chakula na shoo mbalimbali, hao walioiba nawakabidhi kwa Mungu,” alisema Shilole.