Header Ads

https://www.youtube.com/channel/UCERjz5nmYNOtG_WBi-1S4xA

VideoMPYA: DJ Khaled, Rihanna na Bryson Tiller wametusogezea hii “Wild Thoughts”


Akiwa amebakiza siku 8 tu kuiachia albam yake ya 10, itakayoitwa GRATEFUL ikiwa na collabo za mastaa wengi kama kawaida yake, DJ Khaled ambaye ni rapa na mtayarishaji muziki kutoka lebel ya RocNation na WeTheBestMusic ameachia video ya single yake mpya “Wild Thoughts” akiwa na mwimbaji Rihanna.
Wild Thoughts ni single ya nne kutoka kwenye albam ya DJ Khaled ambayo itaingia sokoni June 23, 2017. Unaweza kuitazama hapa chini.

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.