Header Ads

https://www.youtube.com/channel/UCERjz5nmYNOtG_WBi-1S4xA

Wema Apandishwa Tena Kizimbani Kisutu leo,amwaga machozi baada ya mahakama kutoa kauli hii


Staa wa filamu za Kibongo, Wema Isaac Sepetu akiwa katika Mahakama ya Kisutu leo.


…Akipanda ngazi za mahakamani hapo kuelekea chumba ambacho kesi yake imesomwa.

Akitoka mahakamani baada ya kuahirishwa kwa kesi yake. Mwenye shati la drafti ni mwandishi wa  Global Publishers, Boniface Ngumije.
Staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu amepandishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo na wenzake wawili, Matilda Abass na Angelina Msigwa ambao ni wafanyakazi wake wa ndani kwa kosa la matumizi na kukutwa na dawa za kulevya aina ya bangi lakini amekana mashitaka hayo yote.
Mahakama imeahirisha kesi yake hiyo na itasikilizwa tena Julai 14, mwaka huu.


No comments:

Powered by Blogger.