Header Ads

Wema Sepetu: Shepu ya Mwendokasi… Ndo Niliojaliwa Nayo

MALKIA wa filamu za Bongo, Wema Sepetu amefunguka ya moyoni na kutupa jiwe gizani kwa wanaoumnanga kuhusu shepu yake, namna alivyoumbika.


Wema amevunja ukimya kupitia ukurasa wake wa Instagram na kuandika maneno haya;
  • Shepu ya mwendokasi… Ndo niliojaliwa nayo… Kama imeanzia kiunoni kwenda magotini ndo niliojaliwa nayo… Kama wewe hauna basi mshukuru Allah… Ndo nilivyoumbwa jamani… Sio mimi bali ni Maulana ndo alionibariki nayo… Hata ingekuwa kwanzia kichwa hadi Vidole vya miguuni ni sawa pia… Ndo niliojaliwa nayo…. Sometimes najiangalia kwenye kioo sijimalizi… Ndo majaliwa yangu… Ndo yangu basi… Imenizidia… Allah Subhanah wataallah ndo amenipa… Aaaah….!? Sio shepu ya kawaida… Niacheni na Shepu yangu jamani… Ndo nishaimiliki mie… Siwezi kuitoa…. 🙄🙄🙄🙄


Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.