Powered by Blogger.
[4] [Tech] [slider-top] [Technology]

Latest Post

HABARI KALI ZA WIKI

[15] [recent] [slider-top] [HABARI KALI ZA WIKI]

Technology

Lifestyle

HABARI ZA BURUDANI

[4] [burudani] [recent] [HABARI ZA BURUDANI]

Sports

VIDEO KALI ZA WIKI

NEW SONG:DIAMOND FT A,K,A

Gallery

Random Posts

Business

Boss Ngasa

Boss Ngasa

Video Of Day

STORI KALI ZA WIKI

[5] [habarimbalimbali] [recent] [STORI KALI ZA WIKI]

Popular Posts

Pages

STAY CONNECTED

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]

CONTACT US

SIASA

[4] [siasa] [recent] [HABARI ZA SIASA]

Flicker Images

TUMA UDAKU PICHA AU VIDEO KUPITIA 0716909567

Facebook

About US

Advertisements

Entertainment

Follow US

You are here: Home / AIBU:PEPO LA PICHA ZA UTUPU LAIBUKA TENA KWA WASANII WA BONGO FLEVA, MSANII MWINGINE HUYU HAPA

AIBU:PEPO LA PICHA ZA UTUPU LAIBUKA TENA KWA WASANII WA BONGO FLEVA, MSANII MWINGINE HUYU HAPA

| No commentMUNGU WANGU! Mastaa wa Bongo ni kama wamevamiwa na pepo la picha za utupu au zinazoonyesha baadhi ya viungo vyao vya siri. Baada ya Ben Pol kuanza, sasa ni zamu ya Malaika anayetamba na ngoma yake ya Rarua Rarua.
Picha aliyoposti
Malaika amezua gumzo kwenye Mtandao wa Kijamii wa Instagram baada ya kuposti picha inayoonyesha vizuri matiti yake, hali iliyopelekea baadhi ya mashabiki kumrushia maneno ya kashfa, huku wakitafsiri kitendo hiko kama sehemu ya matangazo ya biashara ya mwili wake, hivyo baadhi yao wakikomenti na kumtaka kuanika na bei anayojiuzia.