Powered by Blogger.
[4] [Tech] [slider-top] [Technology]

Latest Post

HABARI KALI ZA WIKI

[15] [recent] [slider-top] [HABARI KALI ZA WIKI]

Technology

Lifestyle

HABARI ZA BURUDANI

[4] [burudani] [recent] [HABARI ZA BURUDANI]

Sports

VIDEO KALI ZA WIKI

NEW SONG:DIAMOND FT A,K,A

Gallery

Random Posts

Business

Boss Ngasa

Boss Ngasa

Video Of Day

STORI KALI ZA WIKI

[5] [habarimbalimbali] [recent] [STORI KALI ZA WIKI]

Popular Posts

Pages

STAY CONNECTED

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]

CONTACT US

SIASA

[4] [siasa] [recent] [HABARI ZA SIASA]

Flicker Images

TUMA UDAKU PICHA AU VIDEO KUPITIA 0716909567

Facebook

About US

Advertisements

Entertainment

Follow US

You are here: Home / Barakah The Prince Akimbia ‘Kichambo’ cha Team Kiba

Barakah The Prince Akimbia ‘Kichambo’ cha Team Kiba

| No comment

Msanii wa muziki, Barakah The Prince ameendelea kukosa uhuru wa kifanya kile anachokitaka kupitia mtandao wa Instagram kwa madai ya kuogopa kishambo kutoka kwa Team Kiba mtandaoni.


Muimbaji huyo ambaye wiki hii ametangaza kuachana na label ya RockStar4000 iliyokuwa inasimamiwa muziki wake, ameonekana kukosa amani mitandaoni kutoka na kauli ambazo amekuwa akizitoa juu ya msanii Alikiba ambaye ni mmoja kati ya Wakurugenzi wa RockStar4000.

Barakah ambaye anamiliki label ya Bana Music Entertainment, ameamua kufunga sehemu za kukomenti katika mtandao wa Instagram baada ya mashabiki ambao wanaonekana kuwa wa Team Kiba kutopendezwa na kauli za muimbaji huyo ambaye anafanya vizuri na wimbo, Acha Niende.

Muimbaji huyo alidai amechana na label hiyo baada ya kuona kuna mambo kadhaa yameshindwa kwenda sawa huku akishindwa kuyaweka wazi.

RockStar4000 bado hawajatoa kauli yoyote juu ya kauli ya muimbaji huyo.

Muimbaji huyo mpaka sasa ana rekodi mbaya ya kukorofishana na label kadhaa ikiwemo ya Tetemesha Entertainment ambayo ilimtambulisha kwenye muziki.