Header Ads

BREAKING: DC Kinondoni ameagiza Mbunge Halima Mdee akamatwe


Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Ally Hapi ameliagiza Jeshi la Polisi kumkamata na kumuweka ndani kwa saa 48 Mbunge wa Kawe Halima Mdee kwa madai ya kutoa kauli za uchochezi.
Halima Mdee anadaiwa kutoa kauli zinazaodaiwa za kichochezi wakati akizungumza na Waandishi wa habari Makao Makuu ya CHADEMA DSM.
VIDEO: Umepitwa na hii? Mbunge adai Mnyika kavaa vazi la Trafiki Bungeni…bonyeza PLAY kutazama!!

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.