Header Ads

CHRISTIAN BELLA KUANDIKA HISTORIA MPYA DODOMA 05/07/2017 @ ROYAL VILLAGE

Msanii wa muziki wa dansi nchini wenye vionjo vya kipekee yaani bongoflava ndani yake ambaye pia ndiye mkali wa masauti Tanzania nzima anaitwa ChristianBella OBAMA

Jumatano ya tarehe 05/07/2017 amehaidi kufanya bonge moja la show ambayo hajawahi kuifanya toka aanze harakati zake za mziki miaka kadhaa iliyopita na akiongea na mwandishi wa Bongomagazinetz Christianbella aka Obama alisikika akisema kuwa nikifika dodoma siku hiyo ya tarehe sita nataka nifanye kitu chenye sijawahi kufanya na kikubwa naomba wadau wa muziki wa bongofleva na dansi muje tuimbe wote kwani sitakuwa peke yangu nitakuwa na mkali wa singeli  SHOLOMWAMBA, Na msanii NANDY kwa pamoja tutafanya kitu moja haijawahi kutokea.

PICHANI HUYO MFUPI NDIYE MUNA MUANDAAJI WA SHOW HII.
kiufupi christianbella anaonyesha ni jinsi gani anataka kufanya maajabu ya kufa mtu na zaidi show hiyo iliyoandaliwa na MUNA LOGISTICS COMPANY Itakuwa ya aina yake kwani mastaa kibao bila kusahau wabunge na watu mbalimbali wanategemea kuhudhuria hivyo hii show tunaamini haitamuacha mtu salama maana walivyojipanga ni bora mtu ukifika ukajionee usikubali kusimuliwa

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.