Header Ads

Diamond Platnumz Athibitisha Yeye ni King Of Bongo Flava...Atoa Nyimbp ya Tatu Ndani ya Mwenzi Mmoja..Itazame Hapa

Siku 20 baada ya Diamond Platnumz kuachia video zake mbili mpya ya ‘Fire’ aliyomshirikisha muimbaji wa Nigeria Tiwa Savage na ‘I Miss You’, leo July 10 2017 ameamua kuachia video nyingine mpya ya wimbo wake mpya wa ‘Eneka’ ambao aliuachia kwa kushitukiza.

Unaweza kutazama video mpya ya Diamond Platnumz na kuniachia comment yako, Diamond atapita kuzisoma


Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.