Powered by Blogger.
[4] [Tech] [slider-top] [Technology]

Latest Post

HABARI KALI ZA WIKI

[15] [recent] [slider-top] [HABARI KALI ZA WIKI]

Technology

Lifestyle

HABARI ZA BURUDANI

[4] [burudani] [recent] [HABARI ZA BURUDANI]

Sports

VIDEO KALI ZA WIKI

NEW SONG:DIAMOND FT A,K,A

Gallery

Random Posts

Business

Boss Ngasa

Boss Ngasa

Video Of Day

STORI KALI ZA WIKI

[5] [habarimbalimbali] [recent] [STORI KALI ZA WIKI]

Popular Posts

Pages

STAY CONNECTED

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]

CONTACT US

SIASA

[4] [siasa] [recent] [HABARI ZA SIASA]

Flicker Images

TUMA UDAKU PICHA AU VIDEO KUPITIA 0716909567

Facebook

About US

Advertisements

Entertainment

Follow US

You are here: Home / Kilichotokea kwenye kesi ya Jamal Malinzi na wenzake Mahakamani leo

Kilichotokea kwenye kesi ya Jamal Malinzi na wenzake Mahakamani leo

| No comment


Leo July 3, 2017 Mahakama ya Hakimu Mazi Kisutu imetupilia mbali maombi ya upande wa utetezi kutaka Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi na wenzake kupatiwa dhamana.
Rais wa TFF Jamal Malinzi, Katibu Mkuu wa TFF, Mwesigwa Selestine na Mhasibu wa Shirikisho hilo, Nsiande Mwanga walifikishwa Mahakamani leo wakikabiliwa na mashitaka 28, ikiwemo ya utakatishaji fedha Dola za Marekani, 375,418.
Kutokana na kukataliwa maombi hayo kesi ya Malinzi na wenzake iliahirishwa hadi July 17, 2017 kwa ajili ya kutajwa.
Aidha, Mahakama hiyo imewaonya Mawakili wa upande wa utetezi ikiwataka waache ubabaishaji wa kuizungumzia kesi hiyo kwenye vyombo vya habari badala yake wawasilishe hoja zao mbele ya Mahakama