Powered by Blogger.
[4] [Tech] [slider-top] [Technology]

Latest Post

HABARI KALI ZA WIKI

[15] [recent] [slider-top] [HABARI KALI ZA WIKI]

Technology

Lifestyle

HABARI ZA BURUDANI

[4] [burudani] [recent] [HABARI ZA BURUDANI]

Sports

VIDEO KALI ZA WIKI

NEW SONG:DIAMOND FT A,K,A

Gallery

Random Posts

Business

Boss Ngasa

Boss Ngasa

Video Of Day

STORI KALI ZA WIKI

[5] [habarimbalimbali] [recent] [STORI KALI ZA WIKI]

Popular Posts

Pages

STAY CONNECTED

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]

CONTACT US

SIASA

[4] [siasa] [recent] [HABARI ZA SIASA]

Flicker Images

TUMA UDAKU PICHA AU VIDEO KUPITIA 0716909567

Facebook

About US

Advertisements

Entertainment

Follow US

You are here: Home / Mrembo Amber Lulu Ajuta Kuchangia Bwana na Gigy Money.....Afunguka Makubwa

Mrembo Amber Lulu Ajuta Kuchangia Bwana na Gigy Money.....Afunguka Makubwa

| No comment
MUUZA sura kwenye video za Kibongo ambaye kwa sasa anatamba na Wimbo uitwao Watakoma, ‘Amber Lulu’ amefunguka kuwa katika mambo ambayo hawezi kuyasahau kwenye maisha yake ya uhusiano wa kimapenzi ni kitendo cha kuchangia penzi la mwanaume mmoja na mwanamuziki mwenziye Gigy Money.

Akizungumza na Uwazi Showbiz, Amber alisema kuwa kitendo hicho kilimuuma sana ukizingatia Gigy ni mtu wake wa karibu lakini hata baada ya kugundua kuhusu hilo hakuweza kugombana na Gigy kwa sababu hata yeye hakuwa anafahamu kuwa alikuwa ni mpenzi wake.

“Tulichokifanya ilikuwa ni kuachana na mwanaume huyo ambaye ni mtangazaji wa kituo kimoja cha televisheni nchini na kila mmoja wetu akatafuta mwanaume mwingine maana tuliona hatufai, alituchanganya wakati akifahamu sisi ni marafiki,” alimaliza Amber Lulu.