Powered by Blogger.
[4] [Tech] [slider-top] [Technology]

Latest Post

HABARI KALI ZA WIKI

[15] [recent] [slider-top] [HABARI KALI ZA WIKI]

Technology

Lifestyle

HABARI ZA BURUDANI

[4] [burudani] [recent] [HABARI ZA BURUDANI]

Sports

VIDEO KALI ZA WIKI

NEW SONG:DIAMOND FT A,K,A

Gallery

Random Posts

Business

Boss Ngasa

Boss Ngasa

Video Of Day

STORI KALI ZA WIKI

[5] [habarimbalimbali] [recent] [STORI KALI ZA WIKI]

Popular Posts

Pages

STAY CONNECTED

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]

CONTACT US

SIASA

[4] [siasa] [recent] [HABARI ZA SIASA]

Flicker Images

TUMA UDAKU PICHA AU VIDEO KUPITIA 0716909567

Facebook

About US

Advertisements

Entertainment

Follow US

You are here: Home / Ni kweli Hamisa Mobetto ni Mjamzito? Kayaandika haya kwenye Instagram

Ni kweli Hamisa Mobetto ni Mjamzito? Kayaandika haya kwenye Instagram

| No comment


Stori ambayo imekuwa ikitrend kwenye mitandao mbalimbali ni kuhusu Mwanamitindo wa Bongo Hamisa Mobetto kudaiwa kutoka kimapenzi na Mwimbaji wa Bongofleva Diamond Platnumz huku pia ikielezwa kuwa na ujauzito wa staa huyo lakini Hamisa Mobetto ameamua kuuweka hadharani ukweli kuhusu ujauzito huo.
Kupitia Instagram yake leo July 3, 2017 Hamisa amepost picha mbili tofauti ambapo akiandika kwenye picha ya kwanza “Mamaa, Angalizo Ushauri peleka angaza.” Na picha ya pili akaandika: “Mama Daa…. Mama Dee….. Mama Diii…..  Mama Doo… Mama Duu….”
VIDEO: Diamond Platnumz alivyoperfom katika mji wa Goma, DRC