Header Ads

PICHA 11: Mazishi ya Mke wa Waziri Mwakyembe leo Mbeya

Mamia ya Wananchi pamoja na viongozi mbalimbali wa Serikali, vyama na dini wameungana na familia katika mazishi ya aliyekuwa mke wa Waziri wa Habari Dr. Harrison Mwakyembe, Linah George Mwakyembe yaliyofanyika leo July 19, 2017 Mbeya.Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.