Header Ads

VIDEO NA PICHA 19: Kutoka kwenye mazishi ya Mtangazaji wa EFM Seth Katende

Taarifa ambazo zilizotoka jioni ya July 9, 2017 zilikuwa ni kuhusu kifo cha Seth Katende ambaye alikuwa Mtangazaji wa EFM akiwa kwenye matibabu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili…sasa leo Seth Katende amezikwa katika Makaburi ya Kinondoni.
Seth Katende alijipatia umaarufu mkubwa kwenye mitandao ya kijamii Tanzania akifahamika kwa jina la ‘Bikira wa Kisukuma’.
millardayo.com ilikuwepo mazishini na hizi hapa ni PICHA 12 kutoka kwenye mazishi hayo ya Seth Katende ‘Bikira wa Kisukuma’.
Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.