Header Ads

VideoMPYA: Time ya kuenjoy video mpya kutoka kwa Barnaba ‘Tunafanana’


July 5, 2017 miongoni mwa video mpya na fresh ambazo  zimenifikia ni pamoja na hii ya staa wa Bongofleva Barnaba Boy Classic inayoitwa ‘Tunafanana’.
Unaweza kuchukua dakika zako 3:46 kuitazama mtu wangu na ukishamaliza kuitazama unaweza kuniachia comment yako ili Barnaba akisoma ajue umeipokea vipi mtu wangu>>>


Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.