Header Ads

“Wangapi wanaonekana kama wameshapita? – Gigy Money kwa Diamond Platnumz


Kupitia Uheard leo July 18, 2017 imemfikia hii mtangazaji Soudy Brown kuhusu Gigy Money kudaiwa kumtaka boss wa WCB, Diamond Platnumz baada ya video na Picha zao wakiwa pamoja zikionekana kwenye mitandao ya kijamii kwa kasi.
Soudy amemtafuta Gigy Money ambaye amedai kuwa watu wasubiri kwanza hayupo tayari kutoa siri kwani ni ya mtu mmoja huku akisema kumpenda mtu nikawaida na yeye yupo serious…
…>>>“Mimi nipo serious kabisa kawaida kumpenda mtu akikubali kuwa mateka anatekwa kwani shilingi ngapi..? najua anafamilia kabisa kawaida tu mahusiano yake nt ayaharibu vipi mbona yanaonekana kama yameshaharibika?
“Wangapi wanaonekana kama washapita tu, yeye mwenyewe mbona yupo tayari sema ntakuwa kama nakupa exclusive tulieni siri ya mtu mmoja nikikupa wewe kuna siri” – Gigy Money

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.