Header Ads

Yaliyojiri Kisutu Kesi ya Agness MasogangeMahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Julai 25, 2017 imeshindwa kuanza kusikiliza kesi kuhusu kutumia dawa za kulevya inayomkabili video Queen, Agnes Gerald ‘Masogange’ hadi Agosti 2, 2017 kutokana na wakili wa serikali kutokuwepo mahakamani kwa kuwa anauguliwa na mtoto .

Masogange anashtakiwa kwa makosa mawili ambayo ni kutumia dawa za kulevya aina ya Heroine na Oxazepam  na Heroine (Diacety Imophine).

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.