Header Ads

Breaking News: RC Makonda Agoma Kuomba Msamaha Waandishi wa Habari

Breaking News: RC Makonda Agoma Kuomba Msamaha Waandishi wa Habari
Katika mkutano uliondaliwa na jukwaa la wahariri Tanzania Jijini Dar es salaam kati ya wahariri na Wandishi wa habari, Mkuu wa Mkoa Paul Makonda ametanka hadharani kuwa hatoomba msamaha na wala haitakuja kutokea.

Kauli hiyo iliibua mjadala mkali kati ya Waandishi wa Habari na Paul Makonda, licha ya kauli hiyo Jukwaa la Wahariri Tanzania chini ya Mwenyekiti wake Novatus Makunga wametamka kwa kauli moja kumfungulia Makonda kuanza kuandika Habari zake.

Licha ya uamuzi huo Bado waandishi wa Habari hawajaridhishwa na hatua hiyo kwakuwa walitaka Makonda atamke kwa kinywa chake kuiomba radhi tasnia nzima ya Habari

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.