Powered by Blogger.
[4] [Tech] [slider-top] [Technology]

Latest Post

HABARI KALI ZA WIKI

[15] [recent] [slider-top] [HABARI KALI ZA WIKI]

Technology

Lifestyle

HABARI ZA BURUDANI

[4] [burudani] [recent] [HABARI ZA BURUDANI]

Sports

VIDEO KALI ZA WIKI

NEW SONG:DIAMOND FT A,K,A

Gallery

Random Posts

Business

Boss Ngasa

Boss Ngasa

Video Of Day

STORI KALI ZA WIKI

[5] [habarimbalimbali] [recent] [STORI KALI ZA WIKI]

Popular Posts

Pages

STAY CONNECTED

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]

CONTACT US

SIASA

[4] [siasa] [recent] [HABARI ZA SIASA]

Flicker Images

TUMA UDAKU PICHA AU VIDEO KUPITIA 0716909567

Facebook

About US

Advertisements

Entertainment

Follow US

You are here: Home / Diamond Platnumz Afunguka Kumkubali Ali Kiba Mpaka Kuweka Picha yake Ofisini Kwake

Diamond Platnumz Afunguka Kumkubali Ali Kiba Mpaka Kuweka Picha yake Ofisini Kwake

| No comment

Msanii wa Muziki Bongo, Diamond Platnumz ametoa sababu ya kuweka picha ya Alikiba katika ofisi yake ya WCB.

Muimbaji huyo ambaye kwa sasa anafanya vizuri na ngoma ya Eneka, ameimbia Clouds Fm Top 20 kuwa ameweka picha ya kila msanii ambaye ana mchango mkubwa katika kukuza muziki wa Bongo Flava.

“Ile siyo ofisi ya Diamond, Rich Mavoko, Harmonize, siyo ofisi ya Tale, ni ofisi ya muziki wa Bongo Flava ambayo imeweka kuona ni kwa namna gani inaweza kuinua muziki wa Bongo Flava,” amesema na kuongeza.
“Bongo Flava haikuletwa hapa tu pekee yangu na wana WCB lakini kuna wasanii tofauti tofauti wana mchango wao katika muziki wa Bongo Flava, so tumeweka baadhi ambao wanamchango, tulitamani tuweke wengine wengi lakini nafasi isingetosha, tumechagua wachache ambao wana mchango,” amesema.

Ameongeza kuwa watu wanaohoji au kushangaa kitu hicho ni hisia tu na kila mtu anapaswa kuwa na hisia zake lakini haikuwa hivyo kama wanavyofikiria