Header Ads

HAMISA MOBETO AJIFUNGUA MTOTO WA KIUME ANAYEFANANA NA DIAMOND KUANZIA MDOMO NA VINGINE

Hongera zake kwa kupata mtoto na kama hizi tetesi za kwamba ni mtoto wa Diamond zina ukweli basi huyu mtoto kazaliwa mwezi mmoja na dada yake Tiffa....Mwenyewe Hamissa bado ameweka swala la baba wa Mtoto kuwa siri kitu ambacho kinaongeza tetesi kuwa ni mtoto wa Diamond Platnumz huku wengine wakisema kuwa amezaa na Majizo ambae alikuwa Mpenzi wake wa zamani na wana mtoto mmoja pamoja.....

 

Picha hapo juu ni mtoto wa kiume mara baada ya kujifungua akiwa Hospitalini..

Je wewe Mdau una Maoni gani

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.