Powered by Blogger.
[4] [Tech] [slider-top] [Technology]

Latest Post

HABARI KALI ZA WIKI

[15] [recent] [slider-top] [HABARI KALI ZA WIKI]

Technology

Lifestyle

HABARI ZA BURUDANI

[4] [burudani] [recent] [HABARI ZA BURUDANI]

Sports

VIDEO KALI ZA WIKI

NEW SONG:DIAMOND FT A,K,A

Gallery

Random Posts

Business

Boss Ngasa

Boss Ngasa

Video Of Day

STORI KALI ZA WIKI

[5] [habarimbalimbali] [recent] [STORI KALI ZA WIKI]

Popular Posts

Pages

STAY CONNECTED

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]

CONTACT US

SIASA

[4] [siasa] [recent] [HABARI ZA SIASA]

Flicker Images

TUMA UDAKU PICHA AU VIDEO KUPITIA 0716909567

Facebook

About US

Advertisements

Entertainment

Follow US

You are here: Home / , Harmonize Amkingia Kifua ZARI HASSAN Swala la Kujirusha Baada ya Msiba wa Mama yake.....

Harmonize Amkingia Kifua ZARI HASSAN Swala la Kujirusha Baada ya Msiba wa Mama yake.....

| No comment
Baada ya watu kuhoji vipi Baby Mama wa Diamond Platnumz, Zari The Boss Lady anajiachia ile mbaya akila bata wakati ni siku kadhaa tu zimepita tangu afiwe na Mama yake mzazi, Harmonize ameamua kumteta Zari.

Harmonize ambaye naye walikuwepo katika bata hilo Mombasa nchini Kenya, amesema mtu akipata matatizo halafu akapelekwa sehemu nzuri kwa ajili ya kufurahi ni kitu cha kumshukuru Mwenyenzi Mungu.

“Kwa sababu haikuwa rahisi, unajua kufiwa na mazazi sio kitu kidogo. Tumefika (Mombasa) tumemkuta yupo fresh, yaani kasharidhika na matokeo kwa sababu anajua hakuna binadamu atakuja kuishi milele,” ameiambia XXL ya Clouds Fm na kuongeza.

“Kwanza ukiona mtu anazungumza hiyo ujue haijui dini, kwa sababu dini imeandika kila mtu atakufa, kifo ni kitu cha lazima, ukiwa unaijua dini huwezi kuhofia suala la kifo. Mtu kafariki ni lazima uumie ila ni lazima maisha mengine yaendelee kwa sababu hata ukae ndani miaka sita hawezi kurudi,” amesema Harmonize.