Powered by Blogger.
[4] [Tech] [slider-top] [Technology]

Latest Post

HABARI KALI ZA WIKI

[15] [recent] [slider-top] [HABARI KALI ZA WIKI]

Technology

Lifestyle

HABARI ZA BURUDANI

[4] [burudani] [recent] [HABARI ZA BURUDANI]

Sports

VIDEO KALI ZA WIKI

NEW SONG:DIAMOND FT A,K,A

Gallery

Random Posts

Business

Boss Ngasa

Boss Ngasa

Video Of Day

STORI KALI ZA WIKI

[5] [habarimbalimbali] [recent] [STORI KALI ZA WIKI]

Popular Posts

Pages

STAY CONNECTED

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]

CONTACT US

SIASA

[4] [siasa] [recent] [HABARI ZA SIASA]

Flicker Images

TUMA UDAKU PICHA AU VIDEO KUPITIA 0716909567

Facebook

About US

Advertisements

Entertainment

Follow US

You are here: Home / Keisha Atilia Shaka Uwezo wa Gigy Money na Amber Lulu Kwenye Muziki

Keisha Atilia Shaka Uwezo wa Gigy Money na Amber Lulu Kwenye Muziki

| No comment

Keisha  Atilia Shaka Uwezo wa Gigy Money na Amber Lulu  Kwenye Muziki
Msanii wa Bongo Flava, Keisha ametilia shaka uwezo wa Amber Lulu na Gigy Money katika muziki huo.Muimbaji huyo ambaye alitamba na ngoma kama Nalia, Uvumilivu, Nimechoka n.k, ameiambia Planet Bongo ya EA Radio kuwa haoni kama wasanii wapo serious.

“Gigy nadhani kama anatania hayuko serious, yeye na Amber Lulu wanajaribu bado sijaona ni serious musician,” amesema Keisha.

Hata hivyo Keisha hakusita kummwagia sifa Lulu Diva kwa uwezo anaoonyesha katika muziki wake, “anajitahidi, sijui nani anamtungia ana melody nzuri na akiongeza jitihada atafika mbali zaidi,” amesema.