Header Ads

Kimenuka Bob Junior Aliamsha Dude Atoa Ujumbe Mzito Kwa Diamond Platnum


Kimenuka Bob Junior Aliamsha Dude Atoa Ujumbe Mzito Kwa Diamond Platnum
Producer aliyeshiriki kutambulisha kipaji cha Diamond Platnumz ‘Bob Junior’ amemwaga malalamiko yake kumlenga Diamond Platnumz Aka SIMBA akidai Simba kamla mpeka yeye…

“SIMBA NILIE MZOEA SIKU ZOTE NI SIMBA RAFIKI NI SIMBA NDUGU NI SIMBA KIPENZI LEO KAONA HAKUNA NYAMA MBUGANI KAAMUA KUNILA HADI MIE KWELI SIMBA HANA URAFIKI NA WAANADAMU MYAMA ATABAKI KUWA MYAMA NA BINAADAMU MYONGE ATABAKI KUWA MYONGE ACHA NIWE MYONGE ILA MUNGU NDIO MFALME NA YEYE NDIO ANAE TETEA WALE WANYONGE KAMA MIMI BABA MUNGU ULIE JUU HUKUMU UTAITOA WEWE….“

Ujumbe huu umetajwa kumuhusi Diamond ambaye Aka yake ni SIMBA na kwamba inasemekana Bob Junior alimuomba Diamond msaada na staa huyu akashindwa kumsaidia.Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.