Header Ads

Kutoka Tanga: Rais Magufuli Awapatanisha PAUL Makonda na Ruge..Washikana Mikono na Kucheza Pamoja

Rais Magufuli akihutubia mubashara kutoka Tanga, amemuita Ruge kutoka Clouds Media Group na kumsifia na badae kumuita Mkuu wa mkoa wa Dar Es Salaam, Paul Makonda na kuwapatanisha. Rais amewasifu wote kuwa ni vijana wachapa kazi na kuwataka wapatane na kushikana mikono na wachape kazi kwa ushirikiano.

“Nataka mambo yenyu ninyi wawili yaishe, nataka mfanye kazi kwa ajili ya Tanzania. Nampongeza Ruge kwa nyimbo nzuri na Mungu awabariki sana” Rais Magufuli.

Je, unadhani hii mbinu aliyotumia Rais Magufuli itafanikiwa kuwapatanisha hawa vijana?

Je, ndo mwisho wa vyombo vya habari kususia habari za Makonda?

#BossHanuniwi

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.