Header Ads

Naanza Kuelewa Sasa Kwanini Rais Mstaafu Jakaya Kikwete Alikuwa Anakaa Kimya Bila Kutolea Matamko Baadhi ya Mambo...


Ukiwaza na kuumiza kichwa Sana, na ukafikiria nje ya boksi kisawasawa ndipo utagundua kwanini JK mambo mengi alikuwa anaamua kukaa kimya na kuepuka kuyatolea matamko....nimejikuta nawaza Sana katika kipindi cha utawala wake, lile sakata letu (Tanzania) na Rwanda, hivi angekuwa ni mtu wa kujibu kila lililokuwa linarushwa toka upande ule, uhusiano wetu ungekuaje??????? Tungekuwa tumefikishana wapi??? Tungefika wapi??? Mtu aliamua kuonekana mjinga na mpumbavu lakini kumbe alikuwa ana maana kubwa Sana....

Seriously, nimejikuta nawaza Sana, japo wengi tulimkebehi kwanini hachukui hatua, lakini sasa naelewa ukimya wake ulimaanisha nini!

USINIULIZE KWANINI

By Patty Del Duero

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.