Header Ads

Nimelala na Mwanamke Mke wa Mtu Kitanda Kimoja Usiku Kucha ..........Tukajikuta Tume....

Ni mfanyakazi mwenzangu tumeenda nchi jirani kwa semina ya siku 5.Tulivyofika tu wakati tunacheki hotel ambayo ni nzuri bei kidogo ipo juu ila kampuni wametupa pesa za kutosha sana,Sasa wakati tunajadiliana jinsi ya kufanya yule sister akasema, Kwa nini tusichukue chumba kimoja tukashare ili tusave hizi pesa? Nilijua ananitania lakini akasisitisha kwamba yupo serious.

Tukachukua chumba kimoja chenye kitanda kimoja tukazama ndani.Ile kuingia tu ndani yule sister akasema anataka kuoga sababu ya uchovu wa safari akjifunga taulo kavua nguo kazama bafuni.Picha nyingi sana zikanijia ifikapo usiku itakuwaje? Sababu yeye ni mke wa mtu na mimi nina mke home.

Nikajiapisha sintofanya chochote na huyu sister kwanza tunaeshimiana sana. Nmimi nikaenda kuoga baada ya yeye kutoka nilivyorudi nikakuta ashavaa nguo. Story story kidogo tukashuka chini tukaenda pata dinner mpaka kwenye saa 5 usiku tukarudi room.
Kufika tu yule sister kavua nguo zake hii sasa alivua mbele yangu akapiga night dressing kajitupa bed.

Na mimi nikajipa moyo nikavua nikapiga bukta nikazama bed.Tukapiga story mbili tatu huku tukiwa tumejifunikia shuka moja.
Mara usingizi ukanipitia kushtuka nimemkumbatia ile mbaya nikijua ni wife home kuchek na yeye kanikumbatia na kaweka mguu juu yangu.Ki ukweli hali ilikuwa ngumu sana mpaka mapigo ya moyo yalibadilika.

Ki ukweli usingizi ulikata nikawa nimemkumabatia mpaka asubuh. Palipokucha yaani yule sister hana time akazama zake bafuni katoka kapiga suti yake na mimi nikazama bafuni kutoka tukaelekea kwenye hotel inapofanylika semina.

Jamani hii ndio siku ya kwanza kweli niatweza maliza siku tano bila kuingiza ndoa yangu matatani kwa style hii kweli.
Ila nimeapa kutofanya chochote na huyu sister.
Ee mungu nipe ujasiri.

By Manuu/JF

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.