Header Ads

Sheikh Ponda Afunguka "Hali ni Mbaya Sana, Mauaji ya Kutisha Yanaendelea Nchini...Bahari Zimejaa Maiti Serikali ipo Kimya"Sheikh ponda ametoa wito kwa jamii na kwa rais magufuli na kusema kuna mauaji ya kutisha yanaendelea nchi hii na kusema upo umuhimu wa mamlaka nyingine kama bunge kushughukikia suala hili na sio kuiachia serikali pekee

Amesema kwa sababu hali ni mbaya sana ipo haja ya kuunda tume huru ya bunge
Ameonyesha habari iliyoandikwa na gazeti la Nipashe ya miili ya watu 15 kukutwa kwenye viroba baharini na walioua hawajulikani hii ni ishara kuwa hali ni mbaya

Pia ameziasa taasisi za kutetea haki za binadamu kukemea hali hii

Amesema waliopotelewa na ndugu watoe taarifa polisi na kwa viongozi kama wao

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.