Powered by Blogger.
[4] [Tech] [slider-top] [Technology]

Latest Post

HABARI KALI ZA WIKI

[15] [recent] [slider-top] [HABARI KALI ZA WIKI]

Technology

Lifestyle

HABARI ZA BURUDANI

[4] [burudani] [recent] [HABARI ZA BURUDANI]

Sports

VIDEO KALI ZA WIKI

NEW SONG:DIAMOND FT A,K,A

Gallery

Random Posts

Business

Boss Ngasa

Boss Ngasa

Video Of Day

STORI KALI ZA WIKI

[5] [habarimbalimbali] [recent] [STORI KALI ZA WIKI]

Popular Posts

Pages

STAY CONNECTED

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]

CONTACT US

SIASA

[4] [siasa] [recent] [HABARI ZA SIASA]

Flicker Images

TUMA UDAKU PICHA AU VIDEO KUPITIA 0716909567

Facebook

About US

Advertisements

Entertainment

Follow US

You are here: Home / Soko la Sido Lateketea kwa Moto Usiku wa Kuamkia leo

Soko la Sido Lateketea kwa Moto Usiku wa Kuamkia leo

| No comment


Soko la Sido Lateketea kwa Moto Usiku wa Kuamkia leo
Soko la Sido Mkoani Mbeya limetetekea kwa moto usiku wa kuamkia leo na kutekteza mali mbalimbali ambazo thamani yake wala chanzo cha moto huo mpaka sasa hazijafahamika.

Akithibitisha kutokea kwa moto huo Mkuu wa Wilaya ya Mbeya William Ntinika amesema kuwa moto huo ambao uliwaka mpaka saa saba za usiku ulikuwa mkubwa na kuteketeza mali zote katika eneo la kuuzia vyakula.

Ntinika amesema kuwa jitihada mbalimbali zilifanyikaka katika kudhibiti moto huo bila kuzaa matunda ikiwani ni pamoja na kikokisi cha zima moto, Jkt, pamoja na magari ya zima moto ya kiwanda cha Songwe lakini moto ulikua mkubwa zaidi wakati ukiendelea kuwaka.


Mkuu huyo wa Wilaya amesema kuwa anataraji kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa na pamoja na wilaya kukutana hii leo kwa ajili ya kufanya tathmini na kuunda tume itakaoyochunguza chanzo cha ajali hiyo