Header Ads

Askofu Gwajima Aongea Kwa Mara ya Kwanza Kuhusu Kuileta ‘Private Jet’ yake Tanzania

Askofu wa kanisa la ufufuo na uzima Josephat Gwajima ameongea kwa mara ya kwanza kuhusu kuileta PRIVATE JET yake Tanzania ambayo ameinunua Marekani. Kwenye hii video fupi hapa chini Gwajima amesema “Mimi nasema kwenye maisha yangu sishindwi hata sasa hivi nimekuja hapa Marekani narudi na Private Jet, nanunua…. why not? wale mlio Tanzania mnisikie anaeleta ngebe namkata ngebe kwa jina la Yesu“

 TAZAMA HII VIDEO HAPA CHINI KUMTAZAMA…


Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.