Powered by Blogger.
[4] [Tech] [slider-top] [Technology]

Latest Post

HABARI KALI ZA WIKI

[15] [recent] [slider-top] [HABARI KALI ZA WIKI]

Technology

Lifestyle

HABARI ZA BURUDANI

[4] [burudani] [recent] [HABARI ZA BURUDANI]

Sports

VIDEO KALI ZA WIKI

NEW SONG:DIAMOND FT A,K,A

Gallery

Random Posts

Business

Boss Ngasa

Boss Ngasa

Video Of Day

STORI KALI ZA WIKI

[5] [habarimbalimbali] [recent] [STORI KALI ZA WIKI]

Popular Posts

Pages

STAY CONNECTED

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]

CONTACT US

SIASA

[4] [siasa] [recent] [HABARI ZA SIASA]

Flicker Images

TUMA UDAKU PICHA AU VIDEO KUPITIA 0716909567

Facebook

About US

Advertisements

Entertainment

Follow US

You are here: Home / BREAKING NEWS: Wabunge wa Upinzani Wagoma Kuingia Bungeni

BREAKING NEWS: Wabunge wa Upinzani Wagoma Kuingia Bungeni

| No comment
BREAKING NEWS: Wabunge wa Upinzani Wagoma Kuingia Bungeni
Taarifa kutokea Bungeni Dodoma ni kuhusu Wabunge wa Upinzani wamegoma kuingia ndani ya ukumbi wa Bunge wakati Mkutano wa Nane wa Bunge la 11 ukiendelea kwa madai kuwa hawakufurahishwa na maamuzi ya kufukuzwa Wabunge 8 wa Viti Maalumu wa Chama cha Wananchi CUF.

Mkutano wa Nane wa Bunge la Jamhuri umeanza leo Mjini Dodoma na moja ya mambo yaliyopo kwente ratiba ya mkutano huo ni kuapishwa kwa Wabunge wapya 8 wa Viti Maalumu ambao wameteuliwa kuziba nafasi za Wabunge 8 wa Viti Maalumu waliofutwa CUF.