Powered by Blogger.
[4] [Tech] [slider-top] [Technology]

Latest Post

HABARI KALI ZA WIKI

[15] [recent] [slider-top] [HABARI KALI ZA WIKI]

Technology

Lifestyle

HABARI ZA BURUDANI

[4] [burudani] [recent] [HABARI ZA BURUDANI]

Sports

VIDEO KALI ZA WIKI

NEW SONG:DIAMOND FT A,K,A

Gallery

Random Posts

Business

Boss Ngasa

Boss Ngasa

Video Of Day

STORI KALI ZA WIKI

[5] [habarimbalimbali] [recent] [STORI KALI ZA WIKI]

Popular Posts

Pages

STAY CONNECTED

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]

CONTACT US

SIASA

[4] [siasa] [recent] [HABARI ZA SIASA]

Flicker Images

TUMA UDAKU PICHA AU VIDEO KUPITIA 0716909567

Facebook

About US

Advertisements

Entertainment

Follow US

You are here: Home / Meya Ubungo Aliamsha Dude Sakata la Bashite Apeleka Ushahidi Kwenye Kamati ya Maadili

Meya Ubungo Aliamsha Dude Sakata la Bashite Apeleka Ushahidi Kwenye Kamati ya Maadili

| No comment
Meya Ubungo Aliamsha Dude Sakata la Bashite Apeleka Ushahidi Kwenye Kamati ya Maadili


 
Sakata la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kudaiwa kughushi vyeti vya elimu, limechukua sura moya baada ya Meya wa Ubungo, Boniphace Jackob, kutinga kwenye Kamati ya Maadili ya Watumishi wa Umma, ambako shauri alilolifungua dhidi ya mkuu huyo wa mkoa limesikilizwa tena.

Akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kutoka kwenye kamati hiyo, Meya Jackob alisema ameitwa kuhojiwa masuala mbalimbali kuhusu shauri hilo, huku naye pia akidaiwa kukiuka sheria za utumishi wa umma kwa kufanya mkutano wa chama ndani ya ofisi za serikali ambapo amesema kwamba ameiambia kamati hoja yake ya msingi ni Paul Makonda kudaiwa kutumia vyeti vya mtu mwingine, wakati jina lake halisi ni Paul Albert Bashite.

Meya Jackob amesema anashukuru kwamba ushahidi wote alioupeleka kwenye kamati hiyo, umepokelewa na hakuna aliyejitokeza kuupinga hivyo anaamini mwisho ukweli utajulikana, huku akisisitiza kwamba yupo tayari kufanya kazi na Daudi Albert Bashite hata kama aliishia darasa la saba lakini anachotaka ni ukweli kufahamika.