Powered by Blogger.
[4] [Tech] [slider-top] [Technology]

Latest Post

HABARI KALI ZA WIKI

[15] [recent] [slider-top] [HABARI KALI ZA WIKI]

Technology

Lifestyle

HABARI ZA BURUDANI

[4] [burudani] [recent] [HABARI ZA BURUDANI]

Sports

VIDEO KALI ZA WIKI

NEW SONG:DIAMOND FT A,K,A

Gallery

Random Posts

Business

Boss Ngasa

Boss Ngasa

Video Of Day

STORI KALI ZA WIKI

[5] [habarimbalimbali] [recent] [STORI KALI ZA WIKI]

Popular Posts

Pages

STAY CONNECTED

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]

CONTACT US

SIASA

[4] [siasa] [recent] [HABARI ZA SIASA]

Flicker Images

TUMA UDAKU PICHA AU VIDEO KUPITIA 0716909567

Facebook

About US

Advertisements

Entertainment

Follow US

You are here: Home / Neno la Ali Kiba kwa Mashabiki Wake Baada ya Kufikisha Watazamaji Zaidi ya Milioni 4 Ndani ya Siku Kumi

Neno la Ali Kiba kwa Mashabiki Wake Baada ya Kufikisha Watazamaji Zaidi ya Milioni 4 Ndani ya Siku Kumi

| No comment


Neno la Ali Kiba kwa Mashabiki Wake Baada ya Kumfikisha Watazamaji Zaidi ya Milioni 4 Ndani ya Siku Kumi
Msanii Alikiba ambaye sasa anatamba na ngoma yake mpya 'Seduce me' amefunguka na kuwapa neno la pongezi mashabiki zake baada ya kuiwezesha ngoma yake hiyo mpya kufikisha watazamaji zaidi ya milioni nne ndani ya siku 10.

Alikiba ametumia ukurasa wake wa Instagram kuwashakuru mashabiki zake na kuendelea kuifanya ngoma hiyo kushika nafasi ya kwanza katika video ambazo zinafanya vizuri Tanzania toka ilipotoka Agosti 25, 2017 na kushuka kwa nafasi moja kwa masaa kadha na baadaye kurejea katika nafasi ya kwanza mpaka sasa.

"Seduce Me imefikisha watazamaji milioni 4 ndani ya siku 10 na bado inaendelea kushika nafasi ya kwanza kwa video zinazo 'trend' Tanzania, nawakubali wote na kuwathamini lakini pia nawapenda sana Tanzania" aliandika Alikiba

Unaweza kuendelea kuburudika na wimbo huu mpya wa Alikiba 'Seduce Me'