Header Ads

Rais Magufuli Atoa Sababu za Kuchelewa Kumteua Jaji Mkuu wa Tanzania

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo amemuapisha Prof. Ibrahim Hamis Juma kuwa Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambaye alimteua kushika wadhifa huo Septemba 10, mwaka huu (Jumapili).

Rais Magufuli amesema kuwa amechukua muda mrefu kumteua Jaji Mkuu wa Tanzania kutokana na ukweli kwamba alikuwa anatafuta mtu ambaye anaweza kuendana na dhamira yake ya kupambana na rushwa hivyo alipojilidhisha na jaji huyo ndiyo maana ameamua kumteua kuwa Jaji Mkuu wa Tanzania.

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.