Powered by Blogger.
[4] [Tech] [slider-top] [Technology]

Latest Post

HABARI KALI ZA WIKI

[15] [recent] [slider-top] [HABARI KALI ZA WIKI]

Technology

Lifestyle

HABARI ZA BURUDANI

[4] [burudani] [recent] [HABARI ZA BURUDANI]

Sports

VIDEO KALI ZA WIKI

NEW SONG:DIAMOND FT A,K,A

Gallery

Random Posts

Business

Boss Ngasa

Boss Ngasa

Video Of Day

STORI KALI ZA WIKI

[5] [habarimbalimbali] [recent] [STORI KALI ZA WIKI]

Popular Posts

Pages

STAY CONNECTED

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]

CONTACT US

SIASA

[4] [siasa] [recent] [HABARI ZA SIASA]

Flicker Images

TUMA UDAKU PICHA AU VIDEO KUPITIA 0716909567

Facebook

About US

Advertisements

Entertainment

Follow US

You are here: Home / Shughuli za Bunge la 11 Kuanza Kesho Mjini Dodoma

Shughuli za Bunge la 11 Kuanza Kesho Mjini Dodoma

| No comment
Shughuli za Bunge la 11 Kuanza Kesho Mjini Dodoma
Mkutano wa nane wa Bunge la 11 unatarajiwa kuanza kesho mjini Dodoma.

Kwa mujibu wa ofisi ya Bunge ratiba ya bunge itatolewa leo baada ya kamati ya uongozi kukutana na kuamua uwasilishwaji wa mswada iliyopo

Katika mkutano huo wabunge wa chama cha Cuf wanatarajiwa kuapishwa kutokana na baadhi ya wabunge kufukuzwa baada ya kukikuka utaratibu na miongozo ya chama hicho ikiwa ni pamoja na kutohudhuria vikao.

Juzi mbunge mmoja ambaye alitarajiwa kuapishwa na wenzake kesho Mbunge mteule wa Viti Maalum Hindu Mwenda alifariki dunia na kuzikwa jana makaburi ya Kisutu.

Naibu Katibu Mkuu wa CUF, upande wa Profesa Ibrahim Lipumba, Magdalena Sakaya amesema chama hicho kimepokea kwa masikitiko kifo cha

Hindu alifariki dunia ghafla nyumbani kwake Kibada Kigamboni.

Sakaya amesema  Hindu alikuwa ni mpambanaji  na mtu mwenye kukijenga chama hicho  kuanzia miaka ya 90  hivyo ni pigo kubwa kuondoka kwake.

‘’Hata ukifika  Tabora leo hii hakuna mwanachama wa CUF asiyemjua Hindu’ ’amesema Sakaya.

“Sijui niseme nini maana zilikuwa zimebaki siku chache tu aende Dodoma kuapishwa baada ya kuteuliwa na Tume ya Taifa ya

Uchaguzi (NEC) mwezi uliopita,” amesema Sakaya ambaye pia ni Mbunge wa Kaliua Tabora.