Header Ads

Tazama VIDEO Jinsi Kubenea Alivyosema Kuwa Tundu Lissu Anawajua Waliompiga Risasi

Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea amefunguka kwamba watu waliomshambulia Tundu Lissu kwa risasi na kutaka kumuua, anawajua na amesema anaweza kuwatambua vizuri.
Kubenea ameyasema hayo kwenye ibada maalum iliyoandaliwa na mchungaji na askofu wa kanisa la ufufuo na uzima, Josephat Gwajima kanisani kwake, Ubungo Maziwa jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na mamia ya waumini.

 VIDEO:

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.