Header Ads

Milioni 300 Zamponza Mfanyabiashara Yusuph Manji Ofisi Zake Zafungwa

 Milioni 300 Zamponza Mfanyabiashara Yusuph Manji Ofisi Zake Zafungwa


Mfanyabiashara maarufu nchini, Yusuf Manji amekuwa katika kipindi kigumu tena baada ya kuandamwa na mambo mengi ambapo kwa sasa Kampuni ya Udalali ya Yono imezifunga  ofisi zake zilizopo Barabara ya Pugu akituhumiwa kudaiwa kodi ya zaidi ya Sh300 milioni na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.